Support UM News at General Conference: Your gift ensures that you and other visitors receive the latest updates, in-depth analysis, and diverse perspectives from General Conference.

Resumé ya 24 Avril Kazi ya Comité Legislatif inanza

Translate Page

Siku ya pili ya Conférence Générale ilihama kutoka kwa ibada ya ufunguzi wa hadi kufikia biashara ya kanisa, wajumbe walipoanza kufanya kazi kwenye commités legislatifs zao na kuchagua wenyeviti wao.

Viongozi walitoa picha nzuri ya feza za Kanisa la Méthodiste Unie, ikiwa ni pamoja na hitaji la kupunguza wingi wa maaskofu. Wakati huo huo, wajumbe walielezea matumaini kwa dénomination hilo kuhama kutoka kwa kuondoka kwa kanisa hadi kufufuliwa.

Kutokana na hali ya migogoro na migawanyiko ya zamani, discours za Maaskofu na Vijana zilitoa matumaini kwa dénomination yatakayotokana na mkutano huu.

Askofu Holston: Kuwa ‘ambaye Mungu anahitaji tuwe’

Askofu L. Jonathan Holston anatoa ujumbe ya Maaskofu wakati wa Conférence Générale la Kanisa Méthodiste Unie mu 24 Avril huko Charlotte, Caroline du Nord. Holston, ambaye anaongoza Conférence ya South Carolina, aliwahimiza wajumbe kupunguza kelele na kuzingatia kazi ya Mungu. Picha na Mike DuBose, UM News
Askofu L. Jonathan Holston anatoa ujumbe ya Maaskofu wakati wa Conférence Générale la Kanisa Méthodiste Unie mu 24 Avril huko Charlotte, Caroline du Nord. Holston, ambaye anaongoza Conférence ya South Carolina, aliwahimiza wajumbe kupunguza kelele na kuzingatia kazi ya Mungu. Picha na Mike DuBose, UM News

Askofu L. Jonathan Holston wa Conférence ya Caroline du Sud alitoa discours ya Maaskofu ya Baraza la Maaskofu ilipoanza siku ya pili ya Mkutano Mkuu wa 2020 wa Kanisa Méthodiste Unie

"Mambo yanapotokea karibu nasi, Mungu anatumia Kanisa kuleta mabadiliko," Holston alitangaza kwa wajumbe, waangalizi na watu waliojitolea waliokusanyika katika Kituo cha Mikutano cha Charlotte kwa 24 Avril "Kanisa halikujengwa kwa ajili ya furaha yetu. Limejengwa kwa kusudi la Mungu."

Aliwatia moyo wale waliokusanyika kumpenda Bwana na jirani zao, kufanya wanafunzi, kujenga amani na kupinga racisme, na kujenga badala ya kubomoa.

Kutafuta kuwa “kile ambacho Mungu anahitaji tuwe” kunapaswa kuwa jambo la kwanza pekee, alisema.

Holston alichaguliwa na Baraza la Maaskofu kutoa ujumbe mu jina lao. Baraza hili lina maaskofu 59 wanaoongoza ma conférences na ma régions épiscopales kote ulimwenguni, pamoja na maaskofu walio enda mu retraite.

Vijana huzungumza juu ya  mahangaiko na matumaini yao ya kile ambacho kanisa litakuwa

Alejandra Salemi wa Conférence ya Floride akisaidia kutoa hotuba ya Vijana wakati wa Conférence Générale la Kanisa Méthodiste Unie huko Charlotte, Caroline du Nord mu 24 Avril. Aliwaambia waliokusanyika kwamba kizazi kipya kinahisi uzito wa traumatismes cha kiakili na kiroho ambacho kina kuja na kujitenga na désaffiliations. Picha na Mike DuBose, UM News.
Alejandra Salemi wa Conférence ya Floride akisaidia kutoa hotuba ya Vijana wakati wa Conférence Générale la Kanisa Méthodiste Unie huko Charlotte, Caroline du Nord mu 24 Avril. Aliwaambia waliokusanyika kwamba kizazi kipya kinahisi uzito wa traumatismes cha kiakili na kiroho ambacho kina kuja na kujitenga na désaffiliations. Picha na Mike DuBose, UM News.

Alejandra Salemi wa Conférence wa Florida na Senesie T.A Rogers wa Conférence wa Sierra Leone waliwasilisha ujumbe wa vijana, moja sur place na myingine kwa direct

Kwa kushangilia, Salemi alisema Conférence Générale linafanyika " katikati ya kile kinachoonekana kuwa kama tourbillon cha kihisia ambacho ni kitu tu sawa divorce inaweza kuanzisha."

"Wakati muda na pesa na nguvu zikielekea kwenye divorce, inabidi iondolewe mahali pengine, na ninaamini kwamba vijana wetu na ma congrégations locales ya mahali hapo wanabeba mzigo mkubwa, alisema.

Salemi alisema kinachotokea kanisani ni kidogo kuliko kile kinachotokea katika ulimwengu wote, na jambo gumu zaidi kusikia katika chumba chani sauti tulivu, ya ukweli: Chuchotement wa upendo wa Mungu unaotukumbusha “ kukaa kimya na kujua.”

"Ikiwa huwezi kuwa na tumaini hivi sasa, ni sawa, nitakuwa na matumaini la kutosha kwa sisi zote," alisema. "Jamaa iko inangojea kujengwa."

Rogers, ambaye hakuweza kupata visa ya kusafiri, alitoa hotuba yake iliyo enregistré, akiwakumbusha wajumbe kwamba séparation ilikuwa ya kawaida katika Kanisa Méthodiste – tangu Conférence Générale  la kwanza wa 1792.

Kwa sababu ya historia hii, alisema, hakuna sababu ya kuwa na wasiwasi juu ya séparation na athari zake, wakati tunajua kwamba séparation na kimethodisti zimeunganishwa.

“Unajua kuna jambo lingine ambalo ni sehemu ya historia yetu? Hakika. Upatanisho na kuja pamoja ni sehemu ya historia yetu. Ni lazima tuwe zaidi kuhusu kuungana kuliko kutaka kugawanyika,” Rogers alisema.

Salemi na Rogers walichaguliwa na Division de Ministères auprès des Jeunes katika Discipleship Ministries, ambayo hupanga mazungumzo ya vijana kama occasion kwa vijana wa Méthodistes Unis kushuhudia kuhusu athari za kanisa katika maisha yao wenyewe na yale ya wengine.

Wajumbe walihimizwa “kuanzisha upya kanisa” kwa pesa kidogo

Rev. Moses Kumar, mtendaji mkuu wa General Council on Finance and Administration, anazungumza mu 24 Avril wakati wa Conférence Générale la Kanisa  Méthodiste Unie huko Charlotte, Caroline du Nord. Picha na Paul Jeffrey, UM News.
Rev. Moses Kumar, mtendaji mkuu wa General Council on Finance and Administration, anazungumza mu 24 Avril wakati wa Conférence Générale la Kanisa Méthodiste Unie huko Charlotte, Caroline du Nord. Picha na Paul Jeffrey, UM News.

Katika mkusanyiko wa kwanza wa baraza la kutunga sera tangu makanisa ya Amérique kuondoka katika Kanisa la Méthodiste Unie, wajumbe walisikia habari zenye kuhuzunisha kuhusu hali ya feza ya Kanisa.

Kabla ya wajumbe ni mapendekezo ya budget ya dénomination zima ambayo itakuwa ya chini kabisa katika miaka 40. Pia inawakilisha kushuka kwa budget kubwa zaidi katika historia ya dénomination.

"Hili ni Conférence Générale ambalo lazima lipeleke ishara wazi kwa kanisa locale," Rais wa Baraza la Maaskofu Tracy Malone alisema, "kwa sababu tunafahamu sana kwamba kupoteza washiriki na kupungua kwa wa membres kuna ushawishi wa moja kwa moja kwa influence ya feza inazopatikana kusaidia ministère.”

Budjet ya dénomination ya 2025-2028 inayokuja mbele ya wajumbe ni 353.1millions de dollars - punguzo la 42%  kuliko budget iliyokubaliwa katika Conférence Générale ya 2016. Kulingana na proposition hii, karibu 347 millions zingetoka Amérique na  6.1 millions kutoka kwa Conférences Centrales - Afrika, Europe na Philippines.

Rev. Moses Kumar, mtendaji mkuu wa General Council on Finance and Administration, alibainisha kuwa budget ina mpango wa kupunguza nombre ya maaskofu mu Amérique na kuongeza maaskofu wawili (2) pekee mu Afrika, badala ya watano (5). Budget hiyo ingepunguza  nombre ya maaskofu kutoka 66 waliofadhiliwa mwaka 2016 hadi kuwa 54.

"Nataka ku souligner kwamba GCFA haina uwezo wa ku controler nombre ya maaskofu waliochaguliwa," alisema. "Ni kazi letu kuwasilisha kile tunachoweza na kisichoweza ku financer.

Maono ya siku zijazo

"Njia ya Maonyesho Yetu Inayofuata," (The Pathway for our Next Expression) uliotolewa na washiriki wa Table Connexionnelle, kuunganisha na Baraza la Maaskofu, liliwahimiza wajumbe kuwazia jinsi Kanisa la Méthodiste Unie lingekuwa. Kwa kutambua hitaji la kuunda upya Kanisa katika kwenda mbele na kuzoea kupunguzwa kwa ressources, wa présantateurs walikaribisha kujitolea upya kwa kutambua jinsi ya kutekeleza mission na ministère ya kanisa.

Judi Kenaston, responsable wa ministère ya Table Connexionnelle, alisema pengine hakujakuwa na Conférence Générale ambalo watu wamesubiri zaidi kuliko huu.

"Quadriennat huu umekuwa mrefu na umejaa matukio ambayo yanaunda kila kitu atutafanya wiki hii," alisema. "Kanisa la Méthodiste Unie ambalo wengi wetu tumelijua tangu tulipozaliwa inaonekana tofauti sana kuliko vile tulivyowahi kuona."

Askofu Thomas J. Bickerton, rais anayemaliza muda wake wa Baraza la Maaskofu, alitoa wito wa kuhama kutoka kwa désaffiliation na kuelekea mission na ministère.

"Hii ni Conférence Générale ambao unaitishwa kuchukua hatua stratégique katika muda mfupi ili tuweze kutenda vile inapashwa kwa muda mrefu," alisema.

Principes Sociaux Zilizorekebishwa (Kitabu cha Jumla cha Nidhamu -Livre de Discipline)

Wajumbe walisikiliza mapendekezo ya kurekebisha documents mbili kuu za dénomination.

Comité ya kudumu ya mambo ya conférence Générale (Comité permanent sur les questions relatives à la Conférence Générale) ilifanya kazi kuelekea utayarishaji wa Livre de Discipline. Kazi hii inajumuisha Comité Permanent inayopendekeza ni sehemu gani za partie VI ya Livre de Discipline zitatumika kwa ma régions yote na ambazo wanaweza kuzirekebisha. Sehemu ya VI, iliyo na mafaa zaidi katika Livre de Discipline, inahusu organisation na administration.

Objectif ni kuwa na kitabu kifupi kinachofaa zaidi kimataifa. Chochote ambacho Kitabu kipya kya Discipline hakijumuishi tena kitarekebishwa katika kila région.

John Hill, directeur intérimaire wa Baraza la Kanisa Méthodiste Unie, alileta rapport  juu ya marekebisho yaliyopendekezwa ya Principes Sociaux ambayo aliiita "barua ya upendo kwa kanisa letu ... ili kutu encourager kuwa communauté nzuri inayopendwa na Mungu". Wakati wa présentation fupi, aliuliza wajumbe "kuzingatia kwa maombi" mabadiliko, ambayo mengi yanahusiana na mazungumzo yanayoendelea kuhusu jukumu la watu wa LGBTQ katika Kanisa.

Katika habari nyingine

  • Alama ya yoga iliyoangaziwa kwenye plate-forme la Conférence Générale iliondolewa baada ya mkutano wa Waamerika wa Asia kusema kuwa ilikuwa offensif. Shirikisho Jipya la Wamethodisti wa Muungano wa Marekani wa Asia (New Federation of Asian American United Methodists) liliandika barua ya wazi kwa Askofu Thomas Bickerton, rais anayemaliza muda wake wa Baraza la Maaskofu, akielezea kufazaika kwa kutumia alama hiyo, ambayo pia inatumiwa na serikali ya Kitaifa ya Kihindu kuwatesa wa minorité religieuse mu Inde. Kikundi hicho kiliomba “uelewevu wa kuongezeka kwa majeshi ambayo yanatesa Wakristo wenzao katika sehemu zingineo za ulimwengu.”
  • Kundi la wa clergé wa Conférence Générale na walei mu inci ua Congo walijipanga ili kufuatilia maendeleo ya Conférence Générale en ligne. Jimmy Kasongo, rais wa vijana wa Conférence ya Kivu, alisema ameona débats yote kwenye simu yake. "Leo ninafahamu kila kitu kinachotokea, ambacho ni kitu kipya ikilinganishwa na Conférence Générale ya miaka iliyopita," alisema. Mwaidi Jolie, secrétaire wa Mama Kipendano wa katika Conférence ya Sud-Kivu alishukuru kanisa kwa ubunifu huo wa communication. “Leo ni mara yangu ya kwanza kuona procession ya maaskofu mu direct,” alisema, “na niliimarishwa sana na mahubiri ya Askofu Thomas J. Bickerton wakati wa ibada ya ufunguzi.

Butler ni producteur/editeur wa UM News. Unaweza kumpata kwa newsdesk@umcom.org ao 615-742-5470. Philippe Kituka Lolonga, Communicateur wa Conférence Annuelle ya Kivu, Jessica Brodie wa South Carolina United Methodist Advocate, na wafanyakazi wa UM News walichangia ripoti hii.

Kusoma habari ingine za Église Méthodiste Unie, udiandikishe ku Daily ao Weekly Digests

Sign up for our newsletter!

UMNEWS-SUBSCRIPTION
Delegates, visitors and staff of the United Methodist General Conference in Charlotte, N.C., dance in the aisles following morning worship on the final day of the conference. Photo by Mike DuBose, UM News.

Synthèse wa 3 Mai: Mkutano wa kihistoria inaisha

Katika siku ya mwisho ya Conférence Générale, wajumbe waligeukia kuweka budget ambayo ita financer ministères za Kanisa kwa miaka minne ijayo — budget ambayo inapunguzwa kwa environ 40% kutoka ile iliyopitishwa mwaka wa 2016.
Askofu David Graves (droite) akitazama matokeo ya vote ya Conférence Générale mu 2 Mai ili kuidhinisha aya katika Principes Sociaux zilizorekebishwa ambazo hubadilisha msimamo wa kanisa kuhusu ndoa. Picha na Paul Jeffrey, UM News.

Synthèse wa 2 Mai: Wajumbe wanatangaza kwamba homosexualité aina tena 'incompatible”

Baraza kuu la sheria la kanisa lilipiga vote mu 2 Mai kuondoa msimamo wa dénomination unaotangaza homosexualité kuwa "incompatible na mafundisho ya Kikristo" - lugha ambayo imekuwa tangu 1972.
Mark Miller (droite) anabeba picha ya groupe inje ya Conférence Générale la Kanisa Méthodiste Unie huko Charlotte, Caroline du Nord, pamoja na watu wana wana furaha kuondolewa kwa interdiction ya ordination ya wa clergés homosexuels — katazo ambalo limeanza tangu 1984. Katikati ni Askofu Karen Oliveto, askofu wa kwanza wa Kanisa hilo ambaye ni askofu homosexuel. Muke wake, Robin Ridenour, yuko ku gauche. Picha na Mike DuBose, UM News.

Resumé ya 1er Mai: Kuondolewa kwa Interdiction ya wa clergé homosexuels, mwisho ya njia ya désaffiliation

Sujet munene ya dispute ya nguvu ku Conférence Générale katika miaka 40 iliondolewa bila débat: interdiction ya ordination ya wa clergé wale wanaojitambulisha kuwa homosexuels.

United Methodist Communications is an agency of The United Methodist Church

©2024 United Methodist Communications. All Rights Reserved