Support UM News at General Conference: Your gift ensures that you and other visitors receive the latest updates, in-depth analysis, and diverse perspectives from General Conference.

Synthèse wa 2 Mai: Wajumbe wanatangaza kwamba homosexualité aina tena 'incompatible”

Translate Page

Siku moja baada ya plénière ya kihistoria ambacho kilishuhudia wajumbe wa Conférence Générale wakimaliza katazo la kanisa ku ordonner “wale wanaojitambulisha kuwa homosexuels” baraza kuu la sheria la kanisa hilo lilipiga vote 2 Mai kuondoa msimamo wa dénomination unaotangaza homosexualité kuwa "incompatible na mafundisho ya Kikristo" - lugha ambayo imekuwa tangu 1972.

Kanisa linamaliza msimamo wa miaka 52

Msimamo wa Kanisa la Méthodiste Unie  juu ya homosexualité – ambao ilikuwa mwanzo ya migogoro ya miaka mingi- haiko tena.

Kwa vote ya 523-161 baada ya karibu saa moja na nusu ya débat, wajumbe wa Conférence Générale waliondoa taarifa ya umri wa miaka 52 katika Principes Sociaux za dénomination kwamba "mazoea ya homosexualité...hayapatani na mafundisho ya Kikristo."

Katika vote hiyohiyo, wajumbe walithibitisha kwamba “ndoa ni agano takatifu, la kudumu ambalo huleta watu wawili wa imani (adulte mwanamume na adulte mwanamke wa umri unaokubalika au wa adultes wawili wenye umri unaokubalika) katika muungano wa mtu na mwenzake na katika uhusiano wao na Mungu.”

Uamuzi huo wa kihistoria unafuatia siku za wajumbe kupiga vote kwenye kalenda ya idhini - bila débat - kubatilisha vikwazo vingi vya dénomination kwa ministère pamoja na wanachama wa LGBTQ

Inaashiria mwanzo wa siku ambayo wengi huona kama siku mupya kwa Kanisa la Méthodisre Unie baada ya miaka nyingi ya chuki juu ya mahali pa watu wa LGBTQ kanisani.

Kwa vote hiyo, wajumbe walipitisha kanuni kamili za Principes Sociaux zilizorekebishwa na kuwasilishwa na United Methodist Church and Society (GBCS), agence wa mashahidi wa kijamii wa dénomination.

Principes Sociaux zinawakilisha misimamo ya umma ya dénomination katika masuala ya siku hizo na haijumuishi sheria ya kanisa..

Ingawa wale waliounga mkono uamuzi huo waliona kuwa ni sababu kuu ya kushangiliya, sio kila mtu kwenye Conférence Générale alikubali vote hiyo.

Baada ya uamuzi wa lugha ya ndoa, watu karibu 65 kutoka Afrika na wengine waliokusanyika pamoja waliimba nyimbo na ku omba pamoja, huku wakiweka wazi maoni yao kwamba Biblia hairuhusu ndoa za watu wa jinsia moja na Kanisa la Méthodiste Unie pia halipaswi kufanya hivyo. "

Hatuamini kwamba tunajua vizuri zaidi kuliko Biblia," alisema Mchungaji Jerry Kulah, mjumbe kutoka Liberia, mratibu wa Mpango Africa Initiative na kiongozi katika mkutano huo.

Askofu John Wesley Yohanna wa Nigeria alitabiri kwamba lugha mpya kuhusu ndoa “ita affecter waamini wa kanisa katika Afrika.”

Katika upande mwingine inje ya Charlotte Convention Center, wanachama wa Queer Delegate Caucus na washirika walifurahia uamuzi huo.

Justice Mitchell, mwanafunzi anayesomea théologie, alisema, “Nimekuwa Mmethodisti maisha yangu yote, na nimekuwa katika processus ya ordination kwa miaka mitatu au minne iliyopita. Mambo mengi ambayo tunapigia vote yana athari kubwa sana kwa maisha yangu katika miaka mitatu au minne ijayo.”

Maaskofu wa Méthodiste Unie hawana sauti wala vote katika décision ya Conférence Générale, lakini wamekuwa na mengi ya kusema kuhusu ma décisions haya ya kihistoria.

"Hii ni siku ya kihistoria ambayo imekuwa kwa miaka mingi," Askofu wa Conférence ya Iowa Kennetha Bigham-Tsai alisema.

“Tumegeuza mipanga zetu kuwa majembe.”

Mande Muyombo, Askofu wa Région Épiscopale la Nord Katanga alisema Wamethodisti wa Africa wataendelea katika uelewa wa ndoa kuwa muungano wa mwanamume mmoja na mwanamke mmoja. Lakini aliongeza kuwa kupitisha wa sheria ya régionalisation utaongeza uwezo wa Waafrika kuwa "wa kweli" katika imani yao huku wakibaki katika uhusiano na wa Methodisti ambao wanaona mambo kwa njia kuachana.

"Ninaona avenir mzuri wa Kanisa la Méthodiste Unie mu  Afrika," alisema.

Askofu: ‘Ondoka kwenye silos na kubomoa vibumbashi’

Askofu Ruby-Nell M. Estrella (droite) aki nommer Mamei Sombo Lansana kama missionaire wakati wa ibada ya asubuhi ya 2 mai ya Conférence Générale ya Kanisa la Méthodiste Unie huko Charlotte, Caroline du Nord. Wasaidizi ni Grace Choi na Roland Fernandes. Picha na Paul Jeffrey, UM News.
Askofu Ruby-Nell M. Estrella (droite) aki nommer Mamei Sombo Lansana kama missionaire wakati wa ibada ya asubuhi ya 2 mai ya Conférence Générale ya Kanisa la Méthodiste Unie huko Charlotte, Caroline du Nord. Wasaidizi ni Grace Choi na Roland Fernandes. Picha na Paul Jeffrey, UM News.

Katika habari nyingine

  • Muungano wa Kikorea (Korean Association of The United Methodist Church) ilitangaza kujitolea kwa kupitisha na kuunga mkono kila mmoja wa missionnaires 140 wa General Board of Global Ministries kwa au moins $100 kwa mwezi kwa kila missionnaire kwa au moins miaka tatu.
  • Katika kile ambacho Askofu kiongozi David Graves aliiita “wakati wa kihistoria,” Conférence Générale ya 2 Mai lilipitisha sheria mpya inayotoa mamlaka kwa wa diacres kuongoza sakramenti. Hii ina maana kwamba wa diacres sasa wanaweza kutoa Saint Cène na kufanya ubatizo mahali ambapo wanatumika, iwe ni kanisa, ministère ya uenezi ao mission.
  • Tribunal kuu ya Kanisa la Méthodiste Unie ilitoa décisions mawili yanayohusiana na maaskofu. Décision liondoa ombi lililopitishwa na Conférence Générale ku mwanzo ya wiki hii kuhusu malipo ya usafiri kwa maaskofu walio enda mu retraite. Décision mwingine ulihusu retraite ya maaskofu kwa Conférences Centrales.
  • Wajumbe wa Conférence Générale wametegemea jeshi la wa traducteurs na wa interprètes kufanya kazii za kanisa. Mkutano hiyo inafanyika katika lugha 10: Kiingereza, Kifaransa, Portugais, Kiswahili, Kikorea, Allemand, Russe, Kitagalogi, Kihispania na Lugha ya Ishara.

    Walihitaji karibu 180 traducteurs katika wiki ya kwanza ili kuhakikisha commissions législatives zote, zenye hadi lugha tano kwa kila commission inaendelea vizuri. Kulibaki hadi 70 traducteurs mu wiki wa pili walipohamia kwenye plénière. Zaidi ya hayo, équipe ya watu wa kujitolea wana geuza maandishi za kila siku katika Kifaransa, Portugais na Kiswahili.

Butler ni producteur/editeur wa UM News. Unaweza kumpata kwa newsdesk@umcom.org ao 615-742-5470. Wafanyakazi wa UM News na Jessica Brodie wa South Carolina United Methodist Advocate walichangia ripoti hii.

Kusoma habari ingine za Église Méthodiste Unie, udiandikishe ku Daily ao Weekly Digests.

Sign up for our newsletter!

UMNEWS-SUBSCRIPTION
Delegates, visitors and staff of the United Methodist General Conference in Charlotte, N.C., dance in the aisles following morning worship on the final day of the conference. Photo by Mike DuBose, UM News.

Synthèse wa 3 Mai: Mkutano wa kihistoria inaisha

Katika siku ya mwisho ya Conférence Générale, wajumbe waligeukia kuweka budget ambayo ita financer ministères za Kanisa kwa miaka minne ijayo — budget ambayo inapunguzwa kwa environ 40% kutoka ile iliyopitishwa mwaka wa 2016.
Mark Miller (droite) anabeba picha ya groupe inje ya Conférence Générale la Kanisa Méthodiste Unie huko Charlotte, Caroline du Nord, pamoja na watu wana wana furaha kuondolewa kwa interdiction ya ordination ya wa clergés homosexuels — katazo ambalo limeanza tangu 1984. Katikati ni Askofu Karen Oliveto, askofu wa kwanza wa Kanisa hilo ambaye ni askofu homosexuel. Muke wake, Robin Ridenour, yuko ku gauche. Picha na Mike DuBose, UM News.

Resumé ya 1er Mai: Kuondolewa kwa Interdiction ya wa clergé homosexuels, mwisho ya njia ya désaffiliation

Sujet munene ya dispute ya nguvu ku Conférence Générale katika miaka 40 iliondolewa bila débat: interdiction ya ordination ya wa clergé wale wanaojitambulisha kuwa homosexuels.
Chorale kutoka Davidson (Caroline du Nord) United Methodist Church wanayimba wakati wa ibada ya asubuhi ku Conférence Générale ya Église Méthodiste Unie la 2024 huko Charlotte, Caroline du Nord. Picha na Larry McCormack, UM News.

Resumé ya 30 Avril: Interdictions ya wa LGBTQ imeondolewa, communion na Église Épiscopale imechikwa

Katika siku ya pili ya Conférence Générale, wajumbe walitumika kwa haraka kupitia calendrier ya consentement.

United Methodist Communications is an agency of The United Methodist Church

©2024 United Methodist Communications. All Rights Reserved