Support UM News at General Conference: Your gift ensures that you and other visitors receive the latest updates, in-depth analysis, and diverse perspectives from General Conference.

Synthèse wa 3 Mai: Mkutano wa kihistoria inaisha

Translate Page

Katika siku ya mwisho ya Conférence Générale - Révérend Gary Graves, secrétaire wa Conférence Générale, aliita kama mkutano wa “matumizi mengi 2020 na 2024” — wajumbe waliweka budget ambayo ita financer ministères ya Kanisa kwa miaka minne ijayo, budget ilikuwa chini kuliko ile iliyoweka mwaka wa 2016.

Inaweza kusemwa kwamba ilikuwa ni Conférence Générale wa matokeo minene zaidi tangu mkutano wa 1968 ambao lilizaa Église Méthodiste Unie. Kanisa linaloendelea kutoka hapa inachana na kanisa lilivyokuwa wiki chache zilizopita. Si kila mtu anakubaliana na msimamo ambao wajumbe walichukua, lakini régionalisation mondiale huhakikisha wote wanaweza kuendelea na ministère katika mpangilio yao wenyewe huku wakibaki kuwa ndani ya Kanisa. Viongozi wa makanisa wanaangalia jinsi washiriki wanaweza kubaki na umoja malgré ya kuwa na mitazamo tofauti, na wajumbe walitengeneza njia ya kurudi kwa makanisa ambayo yameacha dénomination.

Vote ambazo zilibadilisha msimamo wa kanisa kuhusu sexualité zilichukua attention zaidi, lakini hazikuwa hatua pekee zilizochukuliwa mu Charlotte.

Kwa muda wa siku kumi, wajumbe walingalia kupita 1,000 pétitions. Katika vitendo, walikubali  mpango mpya ya retraite ya wa clergé, wakapewa wa diacres mamlaka ya kutoa Saint-Cène na kufanya ubatizo mahali ambapo wanatumika, kufurahiwa matukio ya kanisa, walikubali uhusiano kamili wa ushirika na Kanisa la Moravian na Église Épiscopale, na wakaidhinisha kuondoka kwa conferences annuelles Eurasiennes manne (4) ambayo yanapanga kuwa Kanisa la Methodist la Kikristo linalojiendesha (Église Méthodiste Chrétienne Autonome).

Hatua ya mwisho ilikuwa vote 324-338 contre kurudisha pétition la awali ambalo lingeongeza kwenye liste ya makampuni ambayo Wespath haiwezi ku investir..

Akimalizia kusanyiko kwa plénière baada ya kuongoza kikao cha mwisho, Askofu Tracy S. Malone aliwaambia kila mtu aliyekusanyika:

“Mnapotoka kwenye Mkutano Mkuu huu, waambieni walimwengu kuhusu Yesu. Mnapokwenda, waambieni upendo wake. Mnapokwenda, muwe na upendo....Twendeni pamoja wapendwa, na kamwe tusichoke kufanya kazi ya ufalme.”

Wa interprètes wa lugha ya ishara (langue de signe ) Andrea Raye (gauche) na Tina McDaniel wakiimba na kucheza wimbo “Stand by Me” wakati wa pause mu 3 Mai kwenye Conférence Générale la Kanisa Méthodiste Unie huko Charlotte, Caroline du Nord. Picha na Larry McCormack, UM News.
Wa interprètes wa lugha ya ishara (langue de signe ) Andrea Raye (gauche) na Tina McDaniel wakiimba na kucheza wimbo “Stand by Me” wakati wa pause mu 3 Mai kwenye Conférence Générale la Kanisa Méthodiste Unie huko Charlotte, Caroline du Nord. Picha na Larry McCormack, UM News.

During the 10 days, delegates considered more than 1,000 petitions. Among other actions, they approved a new retirement plan for clergy, granted deacons authority to offer Holy Communion and conduct baptisms in their ministry setting, celebrated church milestones, agreed to a full communion relationship with the Episcopal Church, and approved the departure of four Eurasian annual conferences that plan to become the autonomous Christian Methodist Church.

The final action was a 324-338 vote against reconsidering an earlier petition that would have added fossil fuels to the list of companies in which Wespath is prohibited from investing.

Drawing the assembly to a close with a centering moment after presiding over the final plenary session, Bishop Tracy S. Malone told everyone gathered:

“As you go forward from this General Conference, tell the world about Jesus. As you go, tell them about his love. As you go, be love. … Let’s walk together, beloved, and let us never grow weary of doing the work of the kin-dom.” 

Révérend Izzy Alvaran na wengine wanalomba pamoja mnamo 1 mai baada ya Conférence Générale la Kanisa Méthodiste Unie huko Charlotte, Caroline du Nord, ilichagua kuondoa interdiction ya ordination ya wa clergés homosexuels — katazo ambalo limeanza tangu 1984. Picha na Paul Jeffrey, UM News.
Révérend Izzy Alvaran na wengine wanalomba pamoja mnamo 1 mai baada ya Conférence Générale la Kanisa Méthodiste Unie huko Charlotte, Caroline du Nord, ilichagua kuondoa interdiction ya ordination ya wa clergés homosexuels — katazo ambalo limeanza tangu 1984. Picha na Paul Jeffrey, UM News.

Mu 3 Mai, Wajumbe walikubali budget ya Kanisa yenye ambayo itatofautiana kwa environ 20 millions de dollars, kulingana na matoleo ya kanisa katika miaka miwili ijayo.

Kwa vote 647-31 (soit 95%), wajumbe wa mwaka huu waliidhinisha budget ya dénomination ya 2025-28 ya 373.4 millions de dollar. Montant iyi inategemea na matoleo ya 90% ou plus kwa miaka miwili ijayo. Ikiwa utoaji ni chini ya asilimia hiyo, msingi wa budget itakuwa hadi 363.6 millions de dollars.

Ikionyesha athari ya kupoteza un quart ya makanisa ya Amérique juu ya désaffiliation, budget itakuwa kati ya 38% na 41% ya chini kuliko ile iliyowekwa na Conférence Générale wa 2016.

Wajumbe pia walikubali mpango wa kusambaza maaskofu 32 kote Amérique - ikiwakilisha kupunguzwa kutoka kwa maaskofu 39.

Muungano wa Methodist waondoa restriction ya ndoa za wa homosexuels

Wachungaji wa Méthodiste Unie hawakabiliwi tena na santions zinazoweza kutokea kwa kuwa homosexual, au kufunga ndoa za wa homosexuels, na hawawezi tena kulazimishwa kuzifanya.

Wakati wa kikao cha après-midi cha siku ya mwisho ya Conférence, wajumbe walikubali mabadiliko manne kwa sheria ya kanisa ambayo kwa pamoja yanamaliza interdiction yanayohusiana na homosexualité na kulinda haki za wachungaji kuchagua ndoa ya kufanya au kutofanya.

Walikubali pia mabadiliko ya mahitaji ambayo wa clergé wanapashwa ku pratiquer “célibat” — nyongeza iliyofanywa mwaka wa 1984 ambayo ililenga wa candidtas homosexuels ku ministère.

Badala yake, wajumbe waliunga mkono kuongeza baada ya hitaji la intégrité katika mahusiano yote ya kibinafsi, “responsabilité sociale na urafiki wa kijinsia wa uaminifu unaoonyeshwa kupitia uaminifu, monogamie, kujitolea, affection, na heshima, communication prudente na ya uaminifu, consentement, na kukua katika neema na ujuzi na upendo wa Mungu.”

‘Ondokeni katika njia ya Mungu,’ askofu ahimiza

Sara Martin, ambaye fauteuil roulant inasukumwa na Dan Levine, amebeba bendera ya Baraza la Maaskofu katika ibada ya ouverture wa Conférence Générale la kanisa Méhodiste Unie huko Charlotte, Caroline du Nord, 23 avril. Nyuma yao unakuja procession ya  maaskofu wa Méthodiste Unie, unaoongozwa na Askofu Forrest Stith kwenye fauteuil roulant Picha na Paul Jeffrey, UM News.
Sara Martin, ambaye fauteuil roulant inasukumwa na Dan Levine, amebeba bendera ya Baraza la Maaskofu katika ibada ya ouverture wa Conférence Générale la kanisa Méhodiste Unie huko Charlotte, Caroline du Nord, 23 avril. Nyuma yao unakuja procession ya maaskofu wa Méthodiste Unie, unaoongozwa na Askofu Forrest Stith kwenye fauteuil roulant Picha na Paul Jeffrey, UM News.

Wakati wa ibada ya asubuhi ya mwisho katika Conférence Générale, Rais wa Baraza la Maaskofu Tracy S. Malone alisema kazi iliyofanywa katika Mkutano huu kwa siku 10 zilizopita sio ya mafaa zaidi kuliko ambacho kanisa litafanya baadaye.

Askofu mkazi wa Conférence ya Ohio aliweka msingi wa mahubiri yake kwa maneno ya Zaburi 46:1-3, 10-11. Alirudia tangazo la declaration ya Daudi kwamba Mungu ndiye kimbilio na nguvu zetu.

Aliwaomba wajumbe kufikiria Kanisa la Méthodiste Unie ambapo matumaini huzaliwa upya, na ambapo watu wanapatanishwa na kujitolea kujenga communauté pendwa ya Mungu.

“Wacha tufikirie kanisa ambalo hakuna mtu anayetengwa,” Malone alisema. “Tufikirie kanisa linalovuka géographie, cultures na lugha na mipaka na tofauti. Ninazungumza juu ya kuhusu picha nzuri inaonesha ufalme wa Mungu.”

Votes ya kukumbuka

  • “Tumetumwa kwa Upendo,” iliyoletwa kama declaration officielle la Kanisa (ecclésiologie) ilipelekwa kwenye Commission ya Imani na Utaratibu (Commisssion sur la Foir et la Constitution) ili ifanyiwe marekebisho ili kuangazia halisi ya sasa ya kanisa linapopitia régionalisation, wa kikanda na kwa njia inayopatikana zaidi.
  • Sheria nyingi zinazoungwa mkono na militants wa justice climatique ndani ya Kanisa la Méthodiste Unie zilipitishwa na Conférence Générale kwenye calendrier de consentement katika sehemu ya mapema ya wiki yake ya pili.
  • Baadhi ya pétitions yaliyopitishwa yangeelekeza makanisa kufanya audits kila mwaka wa alama ya empreinte carbone ya majengo yao, viwanja ao installations, kuhimiza vikao vya conférence annuelle ili kupunguza upotevu na consummation ya énergie, na kusoma upya maazimio ya kanisa yaliyopo juu ya ulinzi wa uumbaji.

Katika habari nyingine

  • Wajumbe wa Conférence Générale walisimama ili kuadhimisha anniversaire ya miaka 100 la jingo la Kanisa huko Washington: The United Methodist Building.
  • Jengo hilo, lililo karibu na ofisi ya Cour Suprême na U.S. Capitole, lilikamilishwa na mwaka 1923, kwa hivyo limekuwa hapo kwa miaka 101. Lakini kwa kuwa Conférence Générale imecheleweshwa kwa karibu décennie mmoja na COVID-19, mwaka huu ilikuwa occasion ya kwanza kuitambua katika mkutano hilo.

  • Ashley Boggan D., mtendaji mkuu wa Commission Méthodiste Unie sur les Achives et l’Histoire, alitangaza katika Conférence Générale ya 2 Mai kwamba David Worthington, ambassadeur wa zamani wa kimataifa katika Chumba Kipya cha John Wesley (John Wesley’s New Room), huko Bristol Uingereza, ameajiriwa kama ambassadeur wa kimataifa wa patrimoine ya wa Méthodistes.
  • “Historia ya Kanisa Méthodiste Unie imejaa majengo ya matofali na mortier ambayo, kama wangeweza kuzungumza, yangetuambia historia tajiri za dénomination yetu,” Boggan alisema. “Katika Commission, rôle yetu ni ku promouvoir na ku préserver historia hizo.”

Rôle ya Worthington ni kati ya Archives na Historia na Educational Opportunites, kampuni ya tourisme huko Lakeland, Floride. Atachangisha pesa, kuongoza visites na kutafuta maeneo ya kihistoria ya Wamethodisti.

“Ninaamini ni ya ma faa kwa maendeleo ya future ya kanisa kwamba tuelewe historia ya patrimoine yetu ya Kimethodisti, kwa kuwa ndiyo jiwe la msingi ambalo kanisa letu lilijengwa,” Worthington alisema.

Butler ni producteur/editeur wa UM News. Unaweza kumpata kwa newsdesk@umcom.org ao 615-742-5470. Wafanyakazi wa UM News, Rick Wolcott, Directeur Executif wa communication wa Conference wa East Ohio na Jessica Brodie wa South Carolina United Methodist Advocate walichangia ripoti hii.

Kusoma habari ingine za Église Méthodiste Unie, udiandikishe ku Daily ao Weekly Digests

Sign up for our newsletter!

UMNEWS-SUBSCRIPTION
Askofu David Graves (droite) akitazama matokeo ya vote ya Conférence Générale mu 2 Mai ili kuidhinisha aya katika Principes Sociaux zilizorekebishwa ambazo hubadilisha msimamo wa kanisa kuhusu ndoa. Picha na Paul Jeffrey, UM News.

Synthèse wa 2 Mai: Wajumbe wanatangaza kwamba homosexualité aina tena 'incompatible”

Baraza kuu la sheria la kanisa lilipiga vote mu 2 Mai kuondoa msimamo wa dénomination unaotangaza homosexualité kuwa "incompatible na mafundisho ya Kikristo" - lugha ambayo imekuwa tangu 1972.
Mark Miller (droite) anabeba picha ya groupe inje ya Conférence Générale la Kanisa Méthodiste Unie huko Charlotte, Caroline du Nord, pamoja na watu wana wana furaha kuondolewa kwa interdiction ya ordination ya wa clergés homosexuels — katazo ambalo limeanza tangu 1984. Katikati ni Askofu Karen Oliveto, askofu wa kwanza wa Kanisa hilo ambaye ni askofu homosexuel. Muke wake, Robin Ridenour, yuko ku gauche. Picha na Mike DuBose, UM News.

Resumé ya 1er Mai: Kuondolewa kwa Interdiction ya wa clergé homosexuels, mwisho ya njia ya désaffiliation

Sujet munene ya dispute ya nguvu ku Conférence Générale katika miaka 40 iliondolewa bila débat: interdiction ya ordination ya wa clergé wale wanaojitambulisha kuwa homosexuels.
Chorale kutoka Davidson (Caroline du Nord) United Methodist Church wanayimba wakati wa ibada ya asubuhi ku Conférence Générale ya Église Méthodiste Unie la 2024 huko Charlotte, Caroline du Nord. Picha na Larry McCormack, UM News.

Resumé ya 30 Avril: Interdictions ya wa LGBTQ imeondolewa, communion na Église Épiscopale imechikwa

Katika siku ya pili ya Conférence Générale, wajumbe walitumika kwa haraka kupitia calendrier ya consentement.

United Methodist Communications is an agency of The United Methodist Church

©2024 United Methodist Communications. All Rights Reserved