Waafrika ipo katika nafasi kwa mshikamano katika Conference General 2016

Translate Page
Ustaafu inawa tayarisha ku lomba madaraka na mali mingi, na kuendeleya na sheria ya kanisa kuhusu mapenzi ya jinsia moya.

Wajumbe wa Afrika wana sema wana ingiya iyi Conference General ya mwaka 2016 tayari zaidi, kupita miMkutano ya miaka ya kumu nkongo, na wana penda pata madaraka na mali ya bara lao kati kati ya Kanisa ya Methodiste.

"Tusharitayarisha mingi. Watu yetu wana djuwa mingi" Reverend Pasteur Jerry Kulah akasema, mjumbe kutoka ku Conference ya Liberia. Zamani, Waafrika warianzaka kuya ku Conference General na wana ikala kimiya dju awakuye ni nini iko na pitikana."

Kanisa ya Methodiste iko na ongezeka mu Afrika, na Waafrika weko 30 pourcent ya wajumbe 864 ya Mkutano kubwa mu mweji ya tano siku ya 10 kufika 20 mu Portland. Etats-Unis peke djo ina kuya na wajumbe munene.    

Kulah ni muongozi wa Africa Initiative, organization iri leta pamoya wajumbe wa Afrika ku retraite dju ya kuongeya matatizo na vile Conference General ina pitikaka.

Wajumbe wari patanaa ku centre de retraite mu Portland mu mweji ya tano (Mai) siku ya 7 kufika 8. Wajumbe 260 wa afrika wari ikala pamoya, ongeya pamoya na bari lomba pamoya.

"Atuna kundji ya pression, aho groupe electoral, tunakwa kati kati apaa dju ya kutumika na wa asskofu wetu, ku nenepesha kanisa mu Afrika," Kulah, doyen wa masomo ya Theologie wa Gbarnga mu Liberia arisema.

Kundi irishikiya misemo ya kutoka kwa Thomas Kemper na mchungaji Kim Cape, watendaji wa bodi ya ma ministeres ya Kanisa ya Methodiste na bodi ya elimu ya yulu na wa mnisteres, wali sikiya tena Lonnie Brooks ule anaongoza Comite ya ma associations laique ya Mkutano munene.

Vifaa na feza ya iyi muungano iritoka ku Renewal and Reform Coalition, ambayo ina kuya pamoya na caucus evangelique Habari Njema (Good News). Iyi organisation ina lomba mafundisho ya kanisa iyendeleye.

"Mambo yetu inakuya kuwawezesha Waafrika dju wa tshangiye ku kanisa," Pasteur Thomas Lambrecht, mutendaji wa piri wa Habari Jema (Good News) arisema. "Atubambiye viler banapashwa kutshakuwa aho ku waza, lakini tuko na wafundisha processus dju batende vile wanapatana."

Kulomba ba aaskofu mingi     

Afrika Initiative ita kamatisha kabisa malamiko ile ina lombesha Waafrika mu ma mambo ya kutshakuwa, katika Mikutano General, Meza ya Connection, Conseil judiciaire, na katikaa ma agences.

Mchungaji Forbes Matonga, mjumbe aliye kutoka conference ya West Zimbabwe, arisema Waafrika wana kuya theluthi moja (⅓) ya wa membre ya kanisa lakini banapusa kuhikarisha watu mu madaraka.  

"Bintu biote bina lombewa kuya namuna moya. Ile djo tuna shimamiya." Matonga arisema.

Matongo alitabiri kwamba ita ongoza wa Afrika ku shimamiya Plan UMC mupiya, namuna ya ku tengeneza mashirika ya kanisa na ku fungula viti ya conference central mu bodi.

Kulah akasema bintu bina atchana kiloko.

""Tunakuya mkono moya na malamiko yote ... hiyo ina lomba viti dju ya Afrika," Kulah arisema. "Mpango UMC (Plan UMC) ni moya yaho."

Kundi ya Afrika Initiative ina lomba iyi Mkutano iyi ongeze ba asskofu mingi mu Afrika.

Standing Commitee ya Conference Central Matters ina lomba kushikiya kwanza mi mpango ya Afrika, mbele ya ku kata mi mpaka ya sasa ya ba asskofu na vile ma conference centrales ya Afrika ita katiwa dju ya kazi mupia ya uinjilisti. Baaskofu tano (5) bata ongezewa vile ya iyi mpango - lakini itafanika baada Mkutano ya 2020.

Lakini Afrika Initiative anataka baaskofu mbiri aho tatu sasa ivi, dju ya ku ongezekwa wa kanisa mu Afrika na haja ya uongozi zaidi.

"Tuko napima kusema, tunavunjika moyo na ma utafuti, utafuti ya chipo kwisha," Matonga arisema.

"Kama kuko feza ya utafuti, dju ya nini akuna feza ya uongozi?"

Matonga ariongeza kama wajumbe wa Afrika beko tayari yaku hakikisha kwamba feza ya baaskofu mpya itatoka kati kati ya Afrika dju ya miaka minne (4)

Tatizo igine Wa mjumbe wa Afrika wari sema wata lomba feza ya elimu ya theologie katika bara yao. Elimu ya Juu na Wizara ina lomba  ku leta $ 5 milioni ku Elimu ya theologie ya conference central.

Lakini wajumbe wa Afrika wanapenda ile feza mala mbiri, dju ya ma masomo mu Africa  mu Philippines na Europa, Kulah arisema.

Yeye na Matonga barisifiwe Kanisaa dju ya muda murefu, msaada mingi ya feza kwa Africa University, masomo ya Kanisa ya Methodiste mu Zimbabwe. Lakini barisema dazeni mbili (24) na bia yulu ya ma masomo ya theologie ya Methodiste katika bara zina awakupate feza kuliko Africa University aho ma masomo ya seminaires 13 mu Etats-Unis.

Mtazamo ile irifwatishwa na Mchungaji Kimba Evariste, muongozi mwingine wa Afrika Initiative, mjumbe kutoka conference ya North Katanga na rais wa Universite Methodiste Kabongo mu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

"Miko natengeneza viongozi kila mwaka,"akasema. "Tunalomba feza"       

Sheria 44, ngono    

Kulah na Matonga barisema badjumbe ya Afrika wana huwa Sheria 44, amboyo ingeweza kutoa kundi utambuzi mchakato katika iyi Conference General sawa mbadala ya Sheria ya Robert ya Order - ya kutumikiya katika dua kuhusiana na kujamiiana na mambi wa igine ya matata.

Wajumbe wa Afrika wa na katala na nguvu yote mabadiliko ku sheria ya kanisa inasema ushoga kuwa ni kinyume ku mafudisho ya Kristu, kuzuia Daraja ya "ule-aliye kufanya mazoezi" mashoga, na bana katala viongozi na Kanisa ya Methodiste ku kutekeleza na mwenyeji vyama vya jinsia moja.

Kanisa inapotesha viongo mu Etats-Unis, sasa ivi ndoa ya jinsia moya ni kisheria mu iyi inchi mujima; lakini viongozi ya Afrika Initiative wanasema, wajumbe wale waritoka bara lao awa tashimamiya ile mabadiriko.

"Ayina mambo ya kanisa kubakiya sawa. Ni mambo ya ile Biblia inafundisha, na Biblia inafundisha muntu moya, mwanamuke moya dju ya maisha, kama ni ndoa tuna ogeya," Kulah arisema

Sign up for our newsletter!

Subscribe Now
General Conference
Musicians lead singing on May 12 during morning worship at the United Methodist General Conference in Portland, Ore. Photo by Paul Jeffrey, UMNS.

GC2016 wrap-up: Farewell, Portland. Thanks for the doughnuts.

General Conference 2016 skirted division over human sexuality and focused on a wide range of matters.
General Conference
The Rev. Susan Henry-Crowe of the United Methodist Board of Church and Society addresses the 2016 United Methodist General Conference May 16 in Portland, Ore. Crowe helped present the report on the denomination's Four Areas of Focus for ministry. Photo by Mike DuBose, UMNS

Legislation promotes expanded health care for Native Americans, other minorities

Legislation adopted by the United Methodist General Conference could support efforts to improve health care for Native Americans.
General Conference
General Conference 2016 Logo

Bid to divest from settlements fails

Israel-related amendment on socially responsibility investing fails, but General Conference supports advocacy letter for Palestinian village.

United Methodist Communications is an agency of The United Methodist Church

©2024 United Methodist Communications. All Rights Reserved