Baaskofu bengine mu Afrika, lakini itakua mpaka mu 2020

Translate Page
Wajumbe ku Conference General ya mwaka ya 2016 beniye tchakuwa ku tshunga mi mpango mizuri iyo bebewa.

Afrika itakuwa kupata baasokofu tano (5) mu Kanisa ya Methodiste, lakini itafanika paka mu mwaka ya 2020.

Kuongezeko ya haraka haraka mu kanisa, kati kati ya Afrika irilombechwa kutambua baaskofu mingi.

Lakini siku ya Mei 16, wajumbe ku Mkutano ya  2016 wari weza ku tchungicha bidi ya kuongeza baaskofu wawili (2) sasa ivi, mu ma inchi ya Nigeria na Zimbabwe.

Weniye chagua mapendezo ya Standing Committee on Central Conference Matters (Kamati ya Kudumu ya Mambo ya Kati Mkutano) kuongeza maaskofu tano baada ya Mkutano ya mwaka ya  2020.

Mchungaji Rodney Steele, arisemeya commission iyitaya djulu, arisema kinyume ya kuongeza baaskofu tano wa wakati moya, chini ya sheria moya na mahali iyo pale, kuliko ya kuongeza wawili (2) sasa.

"Kama unatupa ribwe kiloko mu mayi, iyo fania mawimbi," Steele arisema, wa Conference ya Arkansas. "Kama unatupa mayibwe mingi iyo fania mawimb munenei."

Lakini wasemaji wengine warisema mahitaji iko kubwa dju ya kutchunga.

"Ni bara munene, na baaskofu beko sasa ivi na kazi mingi," Rudolph Merabu arisema, mjumbe yeye kutoka Mkutano ya Liberia.

Betty Katiyo, wa conference ya West Zimbabwe, aritshika, aka ambiya bajumbe wenzake, "Sisi wote tuna djuwa kwamba kanisa iko na ongezeka mu Afrika, na atumpende kuyi shimamicha."

Lakini wa Afrika mwengine, Mchungaji Mande Muyombo wa Conference ya Nord Katanga, arilomba kamati iyo tumika vile iritembeya mu Afrika ilete mawazo ya kwendelea.

"Tunapashi kuheshimiya kazi ya kamati iyo tumika," Muyambo arisema, ambaye pia eko mutendadji wa Global Ministries ya Kanisa ya Methodiste.

Wajumbe wari tshakula 417 dhidi ya 393 kuendelea na baaskofu mbiri. Mawazo ya kwanza iyo kuongeza baaskofu tano badaa ya mwaka ya 2020 iyo wina mingi.

Katika sasa na Mkutano kubwa ya mwaka ya 2020, kamati imewekwa ita tumika na viongozi ya kanisa ya Afrika dju ya kwandika mi mpango ita onesha pale mistari ya conference centrale na mistari ya waaskofu ita anza, dju ya kwendelea na kazi muzuri.

Miaka minne italeta leta saa ya kuweka feza mpembeni dju ya baaskofu.

"Tunahitaji kuya na kila muntu tayari kutoka Siku ya Kwanza dju ya huduma yao," Steele arisema.

Coalition ya wasasa na mageuzi (Renewal and Reform Coalition) ambayo ni pamoya na zisizo rasmi kihafidhina kiinjili ya caucus habari njema (Good News) iri ariakisha kuongezwa ya Maaskofu mu Afrika. Vile na viongozi ya Afrika Initiative, kundji ya wajumbe wa Afrika warikutana mu Portland maiku mbele Mkutano ya mwaka ya 2016. 

Sign up for our newsletter!

Subscribe Now
General Conference
Musicians lead singing on May 12 during morning worship at the United Methodist General Conference in Portland, Ore. Photo by Paul Jeffrey, UMNS.

GC2016 wrap-up: Farewell, Portland. Thanks for the doughnuts.

General Conference 2016 skirted division over human sexuality and focused on a wide range of matters.
General Conference
The Rev. Susan Henry-Crowe of the United Methodist Board of Church and Society addresses the 2016 United Methodist General Conference May 16 in Portland, Ore. Crowe helped present the report on the denomination's Four Areas of Focus for ministry. Photo by Mike DuBose, UMNS

Legislation promotes expanded health care for Native Americans, other minorities

Legislation adopted by the United Methodist General Conference could support efforts to improve health care for Native Americans.
General Conference
General Conference 2016 Logo

Bid to divest from settlements fails

Israel-related amendment on socially responsibility investing fails, but General Conference supports advocacy letter for Palestinian village.

United Methodist Communications is an agency of The United Methodist Church

©2024 United Methodist Communications. All Rights Reserved